1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.08.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S10 Agosti 2017

Msikilizaji dunia yetu leo asubuhi inaanzia huko Kenya ambako matokeo ya uchaguzi wa rais yalizusha mabishano// Na wakati huo huo, Sekione Kitojo anazungumza na mwenzetu aliyopo katika kituo kikuu cha ukusanyaji na utangazaji wa matokeo katika ukumbi wa Bomas of Kenya mjini Nairobi kujua hasa kinachojiri kwa wakati huu.

https://p.dw.com/p/2hynr