1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.05.2017 Matngazo ya Mchana

SK2 / S02S10 Mei 2017

Rais wa Marekani Donald Trump amemtimua Mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la Marekani – FBI, James Comey// Tukiingia barani Afrika, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Joseph Kabila jana alitangaza baraza jipya la mawaziri ambalo linakosolewa na upinzani kwa kuwa wengi wa mawaziri wake ni kutoka upande wa serikali ya Kabila.

https://p.dw.com/p/2ck4b