1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.04.2018 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
10 Aprili 2018

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lajadili shambulizi ya silaha za sumu Syria // Zuckerberg amekubali kubeba lawama kutokana na matumizi mabaya ya data za watumiaji wa Facebook // Na aliyekuwa mkuu wa jeshi la Sudan Kusini Paul Malong ameunda kundi lake la waasi

https://p.dw.com/p/2vkVy