1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.03.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S10 Machi 2017

Polisi nchini Ujerumani wamemkamata mtu mmoja anayeaminika kuwa na matatizo ya kiakili aliyewashambulia na kuwajeruhi watu saba katika kituo cha treni cha Düsseldorf usiku wa Alhamis// Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamemchaguwa tena Donald Tusk kuwa rais wa Umoja huo// Mahakama ya kikatiba ya Korea Kusini imetoa uamuzi wa kuufikisha mwisho utawala wa Rais Park Geun hye.

https://p.dw.com/p/2Yx81