1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.02.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S10 Februari 2017

Hapo jana mahakama kuu ya Kenya ilizuia mpango wa serikali ya nchi hiyo kutaka kuifunga kambi ya wakimbizi ya Dadaab iliyoko kaskazini mwa nchi hiyo// Taarifa ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa Jumatano hii inasema watu Milioni 12 nchini Yemen wanakabiliwa na kitisho cha njaa kilichosababishwa na mapigano yaliyodumu kwa miaka miwili// Bunge la Rwanda kaidhinisha lugha ya Kiswahili kuwa lugha ya nne.

https://p.dw.com/p/2XJ31