1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.01.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S10 Januari 2017

Vikosi vya serikali ya Iraq vimefanikiwa kuingia katika mikoa ya kusini mashariki ya Mosul// Hatua ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kufanya mageuzi makubwa kwenye uongozi wa jeshi la nchi hiyo, imepokelewa kwa maoni tofauti tofauti na wanasiasa// Nchini Tanzania, watu 12 wamekufa baada ya mashua moja kuzama maji mapema leo.

https://p.dw.com/p/2VaQN