1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.12.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S9 Desemba 2016

Tanzania- John Magufuli leo ameongoza maadhimisho ya miaka 55 ya uhuru wa iliyokuwa Tanganyika, sasa inayojulikana kama Tanzania Bara// Umoja wa Mataifa umeelezea wasi wasi wake kuhusu hatima ya maelfu ya wakaazi waliokwama mashariki ya Aleppo// Baada ya kujaribu kuwania urais mara mbili katika uchaguzi nchini Ghana, Nana Akufo-Addo anaonekana kuongoza katika uchaguzi wa urais.

https://p.dw.com/p/2U2fy