1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.08.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S9 Agosti 2017

Matangazo maalum ya uchaguzi wa Kenya: Muungano wa upinzani NASA wapinga matokeo yanayotolewa na tume ya uchaguzi IEBC yanayomweka Uhuru Kenyatta mbele ya kiongozi wake Raila Odinga/ Kwa mara ya kwanza Kenya imefanyikiwa kupata magavana wa kike/ Tunaviangazia vyombo vya habari vinavyotoa mchango wake katika uchaguzi huo/ Trump aionya Korea Kaskazini kwa mara nyingine

https://p.dw.com/p/2hwGm