1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.07.2017: Matangazo ya Mchana

Lilian Mtono
9 Julai 2017

Nchi za G20 zafanikiwa kuepusha vita vya maneno na Rais Donald Trump kuhusiana na suala la mabadiliko ya tabianchi, mfungwa maarufu wa kisiasa nchini Venezuela Leopoldo Lopez aapa kuendeleza mapambano ya uhuru, baada ya kuachiwa jana kutoka kizuizini na Mkuu wa tume ya uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo asema haitawezekana kuandaa uchaguzi wa Rais ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

https://p.dw.com/p/2gEQu