1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.06.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S9 Juni 2017

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May anakabiliwa la shinikizo la kujiuzulu hbaada ya kupoteza wingi wa viti bungeni, na hivyo kuifanya nchi hiyo kutokuwa na uhakika wakati mazungumzo ya kujiondoa Umoja wa Ulaya yakikaribia kuanza// Nchini Tanzania, Watu wawili wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa katika kijiji cha Nyamisati, Wilaya ya Kibiti katika mkoa wa Pwani.

https://p.dw.com/p/2ePP1