Nchi za Afrika Mashariki zinalaumiwa kwa kushindwa kusaini na kuridhia mkataba wa Afrika kuhusu demokrasia// Huko Kenya Idadi ya walimu wasio waumini wa dini ya Kiislamu wanaozikimbia shule zao kutokana na hofu ya kuuwawa na kundi la kigaidi la Al-Shabqab// Wanawake wanaogombea katika uchaguzi wa bunge nchini Iraq mwezi huu hawaogopi, licha ya changamoto kedekede zinazowakabili.