Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson amewasili nchini Kenya alasiri ya leo// Baraza la makanisa duniani limetaka suala la haki kuenziwa katika ngazi za familia hadi ulimwengu mzima// Mapigano mapya katika mji wa Mashariki mwa Syria wa Ghouta yameiweka hatarini shughuli ya kufikisha misaada katika eneo hilo.