1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.03.2017 Matngazo ya Jioni

SK2 / S02S9 Machi 2017

Poland leo imetishia kuchelewesha mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya utakaozungumzia mustakabali wa umoja huo/ Pirika pirika za kidiplomasia zimeshika kasi mjini Moscow hii leo/ Tanzania inasisitiza kwamba haina njaa licha ya utafiti wa hivi karibuni uliotolewa na shirika la Twaweza kuonesha kwamba asilimia 78 ya watu wanakabiliwa na ukosefu wa chakula kuanzia kipindi cha miezi mitatu iliyopita.

https://p.dw.com/p/2Yutq