1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.03.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S9 Machi 2017

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria Staffan de Mistura, amesema anakusudia kuanzisha duru nyingine ya mazungumzo kati ya serikali ya Rais Bashar al-Assad na upinzani tarehe 23 mwezi huu wa Machi mjini Geneva// Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakutana leo mjini Brussels katika mkutano wa kilele uliogubikwa na ajenda kadhaa ikiwemo suala la uchaguzi wa Rais wa Baraza la Ulaya.

https://p.dw.com/p/2YstY