1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.12.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S8 Desemba 2016

Mgomo wa Madaktari nchini Kenya ambao umeingia siku ya nne leo hauna dalili za kusitishwa hivi karibuni// Mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika mzozo wa Burundi, Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa, amefanya mazungumzo na rais wa Burundi Pierre Nkurunziza mjini Bujumbura// Tume ya uchaguzi nchini Ghana itaanza kutoa matokeo ya uchaguzi wa urais na ubunge hii leo.

https://p.dw.com/p/2TyUw