1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.06.2018 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S8 Juni 2018

Rais wa Urusi Vladimir Putin amewasili leo nchini China na kukutana na rais Xi Jinping// Waziri mkuu wa Ethiopia Dr. Abiy Ahmed Ali anaanza ziara ya siku mbili nchini Uganda katika hatua ya kuzidisha ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.

https://p.dw.com/p/2z9Fz