Trump anatarajiwa kuiondoa Marekani kwenye mkataba wa nyuklia wa Iran/ Je, zipi changamoto zinazomkabili Putin katika muhula wake wa nne wa utawala?/ Ujerumani inafanya kila njia kuhakikisha inaepusha vita vya kibiashara kati ya Umoja wa Ulaya na Marekani/ Wakili mpya wa rais Trump ameanza vibaya juhudi za kummtetea rais huyo kwa kutoa matamko yanayoshangaza/ Kenya: mvua kubwa zinaendelea kunyesha