Dunia ingekua mahala pazuri pa wanawake kuishi iwapo wangepata kazi nzuri zaidi// Sudan Kusini-Jenerali wa jeshi la Sudan aliyejienguwa mwezi uliopita, sasa anasema ameunda kundi jipya la waasi kuipinga serikali// Mzozo juu ya jaribio la Poland kutaka kumuweka mgombea mwengine kuchukuwa nafasi ya Rais wa Umoja wa Ulaya Donald Tusk linatishia kuutia kiwingu mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya.