1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.01.2017: Matangazo ya asubuhi

Isaac Gamba
8 Januari 2017

Tuliyo nayo ni pamoja na : Rais wazamani wa Ureno Mario Soares afariki dunia// Rais mpya wa Ghana Nana Akufo-Addo ala kiapo cha kuliongoza taifa hilo//Mashirika ya kijasusi Marekani yasema Rais Vladimir Putin wa Urusi aliingilia uchaguzi wa Marekani.

https://p.dw.com/p/2VT5t