1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.12.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S8 Desemba 2017

Wapalestina wenye hasira wameitisha siku ya ghadhabu leo Ijumaa wakati maandamano ya kupinga hatua ya rais wa Marekani Donald Trump kuutambua mji wa Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel yakisambaa// Mazungumzo ya Uingereza kujitoa katika Umoja Ulaya, yanatoa mwelekeo wa kuingia awamu ya pili ya mazungumzo hayo kuhusu ushirikiano wa kibiashara baina ya pande hizo mbili.

https://p.dw.com/p/2p1iL