1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.12.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S8 Desemba 2017

Takriban dunia nzima ilikuwa imemuonya Rais wa Marekani Donald Trump dhidi ya kuchukua hatua hii// Wajumbe wa Upinzani wanaoshiriki mazungumzo ya kutafuta amani Syria wamekuwa wakiwapokea wageni wote wakiwa na ombi moja waondoe matakwa yao ya kutaka Rais Bashar al Assad aondoke madarakani kama mojawapo ya masharti ya mazungumzo ya kutafuta amani kupiga hatua.

https://p.dw.com/p/2ozoY