1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.10.2016 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S7 Oktoba 2016

Rais wa Colombia Juan Manuel Santos ndiye mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2016// Kuanzia mwezi uliopita, umaarufu wa Kansela wa Ujerumani Angela Merkel umeanza kuimarika// Kimbunga kinachojulikana Matthew kimewasili katika jimbo la Florida nchini Marekani// Serikali ya Burundi imeidhinisha sheria inayoagiza nchi hiyo kujiondoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC.

https://p.dw.com/p/2R0BQ