1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.10.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S7 Oktoba 2016

Juan Manuel Santos amesema amepokea tuzo ya amani ya Nobel kwa hisia kubwa// Antonio Guterres kwa haraka anahitajika kuufanyia mageuzi umoja wa mataifa// Merkel- Urusi itumie ushawishi wake kuihimiza serikali ya Syria iache hujuma zake za maangamizi dhidi ya mji wa Aleppo// Afrika Kusini- Wanafunzi wa vyuo vikuu wametishia kuzuia vyuo hivyo kufunguliwa tena rasmi Jumatatu ijayo.

https://p.dw.com/p/2R1T2