1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.09.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S7 Septemba 2017

Kiongozi wa upinzani nchini Togo amemtaka Rais Faure Gnassingbe ambaye yeye na familia yake wameiongoza nchi hiyo kwa miaka hamsini kujiuzulu maramoja// Jeshi la Syria limesema ndege za kivita za Israel zimeshambulia eneo lake la kijeshi la Hama magharibi mwa nchi hiyo// Wimbi la mauaji ya kikatili ya wanawake nchini Uganda limezua hisia mseto za hofu na hasira miongoni mwa wananchi na viongozi.

https://p.dw.com/p/2jVKu