1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.06.2018 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S7 Juni 2018

Viongozi wa Kundi la nchi saba zilizostawi zaidi kiviwanda la G7 wanajiandaa kwa mkutano wa kilele unaoanza Kesho Ijumaa nchini Canada// Waziri Mkuu wa Uhispania wa siasa za Kisoshalisti ametangaza baraza lake la mawaziri leo hii// Julia Greeley aliekuwa mtumwa nchini Marekani anakaribia kupewa utakatifu.

https://p.dw.com/p/2z4nc