1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.06.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S7 Juni 2017

Kundi linajiita Dola la Kiislamu limedai kuhusika na mashambulizi leo hii mjini Tehran, Iran// Kampeni za uchaguzi wa mapema wa Uingereza zinamalizika leo hii// Serikali ya Kongo imeridhia kuundwa tume ya pamoja kwa ajili ya uchunguzi wa mauwaji yaliofanyika kwenye majimbo ya Kassai.

https://p.dw.com/p/2eF1Q