1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.06.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S7 Juni 2017

Waziri wa mambo ya nje wa Iran Javad Zarif amesema mashambulizi yaliyotokea leo mjini Tehran na kuwaua watu 12 na kuwajeruhi wengine kadhaa yatazidisha ari ya Wairan kupambana dhidi ya Ugaidi// Leo ni siku ya mwisho ya kampeni ya uchaguzi mkuu nchini Uingereza.

https://p.dw.com/p/2eHEB