1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.04.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S7 Aprili 2017

Shambulio la makombora liliofanywa na Marekani dhidi ya Syria leo hii limepokelewa kwa mitazamo tafauti// Maelfu ya Waafrika Kusini wamemiminika mitaani leo katika miji mikuu ya nchi hiyo kumtaka Rais Jacob Zuma ajiuzulu maramoja// Viongozi wa upinzani nchini Kenya wanatarajiwa kukutana mwishoni mwa wiki hii.

https://p.dw.com/p/2ateR