Leo majaji katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, watasikiliza kesi ya kwa nini Afrika ya Kusini ilishindwa kumkamata Rais Omar Al Bashir wa Sudan wakati wa ziara yake ya mwaka 2015// Leo ni miaka 45 tangu alipouwawa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Abeid Amani Karume.