1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.03.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S7 Machi 2017

Viongozi wa kijeshi wa Urusi, Uturuki na Marekani walikutana kwa kikao cha ghafla katika jimbo la kusini la Antalya leo kuzungumzia hali nchini Syria// UN- Guterres ameihimiza Jumuiya ya Kimataifa ichukue hatua ili kuepusha balaa la njaa nchini Somalia// Tanzania- mwenyekiti wa Chama cha Wananchi, CUF, Prof Ibrahim Lipumba amemkabidhi Magdalena Sakaya madaraka ya Katibu mkuu wa chama hicho.

https://p.dw.com/p/2Ymqh