1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.02.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S7 Februari 2017

Ujerumani inapojiandaa kwa uchaguzi mkuu kura ya maoni yanaonyesha kuwa Martin Schulz wa chama cha Social Democratic SPD anamkaribia sana kansela Angela Merkel// Sherehe za kuifurahia michuano ya kombe la mataifa ya Afrika zimemalizika Kamerun wameshaondoka na ushindi wa taji hilo. Lakini nini kilichobakia katika hali ya kisiasa na kiuchumi kwa nchi wenyeji wa michuano hiyo Gabun?

https://p.dw.com/p/2X58i