Tuliyo nayo ni pamoja na : Watu kadhaa wauawa katika shambulizi la risasi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Fort Lauderdale nchini Marekani// Israel yapunguza mchango wake wa fedha kwenye Umoja wa Mataifa// Urusi yaanza kuondoa wanajeshi wake Syria.