1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.12.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S6 Desemba 2017

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa wakati wowote kutoka sasa kutaamka kama Marekani inautambua mji wa Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel na kuamua ubalozi wao uhamishiwe mjini humo// Wakimbizi watoto kutoka Syria wameajiriwa katika maeneo mbalimbali ya ajira nchini Uturuki, hali inayoelezwa kuwa inawapokonya furaha ya utoto wao na kuwakosesha haki msingi ya kupata elimu.

https://p.dw.com/p/2oq2v