1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.12.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S6 Desemba 2016

Dominic Ongwen mmoja wa makamanda wa juu wa kundi la uasi la Lords Resistance Army nchini Uganda ambaye amefikishwa kwa mara ya kwanza mbele ya mahakama ya Jinai ya ICC mjini The Hague ameyakanusha mashtaka yote dhidi yake// Kansela Angela Merkel amechaguliwa tena jioni hii kukiongoza chama chake cha kihafidhina cha Christian Democratic Union, CDU.

https://p.dw.com/p/2Tq3O