COP23: Mkutano wa kimataifa wa mazingira waanza Bonn/ Kamata kamata miongoni mwa wana wa ufalme Saudi Arabia/ Wanasiasa wakubwa watajwa katika kashifa ya ukwepaji kodi ya "Paradise Papers"/ Trump: Shambulio la Texas limetokana na tatizo la akili/ Tanzania: Rais Magufuli jana alitimiza miaka miwili ya utawala wake> Mahojiano/ Kongo: Tume huru ya uchaguzi imetangaza kalenda ya uchaguzi