1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.10.2016 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S6 Oktoba 2016

Waziri mkuu wa zamani wa Ureno Antonio Guterres anatarajiwa kutangazwa rasmi kuwa Katibu mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa // Watu 25 wameuawa nchini Syria karibu na mpaka wake na Uturuki// Jumuiya ya kimataifa imetaka kutolewa kwa Dola Bilioni 15.2 kwa ajili ya kuisaidia Afghanistan katika kipindi cha miaka minne ijayo.

https://p.dw.com/p/2QwJS