1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.10.2016 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S6 Oktoba 2016

Mawaziri wa fedha kutoka nchi za kundi la G20 wanajiandaa kukutana alhamisi wiki hii// Kwa kipindi kirefu kumekuwa na taarifa za kuteswa na kunyanyaswa kwa watumishi wa majumbani kutoka nchi za Kiafrika na Asia katika nchi za kigeni na hasa Mashariki ya Kati// Hali ya usafiri kati ya Ethiopia na Djibouti imeimarika, kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa reli.

https://p.dw.com/p/2QvHh