1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.04.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S6 Aprili 2017

Syria na Urusi zimekanusha tuhuma kuwa Serikali ya Syria ndio iliyofanya shambulizi kali la silaha za sumu// Tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC imeeleza bayana kwamba hatua ya upinzani ya kuweka kituo cha kukusanya matokeo yao haina shida ingawaje jukumu la kutangaza matokeo ya uchaguzi ni la tume hiyo// Rais wa China Xi Jinping amekutana hii leo Rais wa Marekani Donald Trump.

https://p.dw.com/p/2apEE