1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.01.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S6 Januari 2017

Urusi imesema leo kuwa imeanza kupunguza idadi ya wanajeshi wake nchini Syria// Malalamiko ya wanajeshi yalioanza leo asubuhi mjini Bouake, ngome ya uasi wa zamani wa kijeshi, yameenea katika miji ya Daloa// Jukwaa la wahariri nchini Tanzania linakusudia kufungua kesi mahakamani kuishinikiza serikali kufanya marekebisho ya kifungu cha sheria ya huduma za habari namba 12 ya mwaka 2016.

https://p.dw.com/p/2VQ2T