1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.10.2016 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S5 Oktoba 2016

Vikosi vya serikali ya Syria vinaendelea kusonga mbele Aleppo// Vyama vikuu vya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo vimeuomba Umoja wa Mataifa kuingilia kati ili kushawishi kufanyika mazungumzo mapya ya kitaifa// Serikali ya Kenya imevikosoa vyombo vya habari na kukanusha ripoti kwamba idara ya polisi inatekeleza mauaji ya kikatili kwa raia wake.

https://p.dw.com/p/2QtGD