Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameahidi kuendelea kuliimarisha shirika la utangazaji la Ujerumani, DW// Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu yuko Ufaransa anakokutana na Rais Emmanuel Macron// Ni mwaka mmoja sasa tangu nchi nne za kiarabu kukatiza uhusiano wao wa kidiplomasia na Qatar.