Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson hapo Jumatano ametangaza mipango yake ya kukabiliana na masuala yanayoisibu dunia ikiwa ni pamoja na mzozo na Korea Kaskazini// Kenya imekuwa na wakati mgumu kudhibiti matumizi ya mifuko ya plastiki huku serikali ikijaribu mara tatu bila mafanikio kudhibiti matumizi hayo.