1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.04.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S5 Aprili 2017

Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress, ANC, kinajaribu kujinusuru na mgawanyiko uliokikumba baada ya hii leo kutoa wito wa wanachama wake kumuunga mkono Rais Jacob Zuma anayekabiliwa na shinikizo la kutakiwa kujiuzulu// Mataifa yameahidi takriban dola bilioni 1.73 katika msaada mpya kwa Syria wakati wa mkutano wa kimataifa uliodhaminiwa na Umoja wa Ulaya uliofanyika leo.

https://p.dw.com/p/2al4R