1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.01.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S5 Januari 2017

Iran imeitaka Uturuki "isizidi kukorofisha mambo" nchini Syria/ Jeshi la Iraq na vikosi vya usalama vimeimarisha vita dhidi ya wapiganaji wanaojiita Dola la Kiislamu katika juhudi za kuukomboa mji wa Mosul/ Shambulizi kubwa la kigaidi na kukaribia kwa uchaguzi mkuu ni masuala mawili yanayowafanya Wajerumani kwa wakati huu kufanya mjadala juu ya njia bora za kuifanya nchi yao iendelee kuwa salama.

https://p.dw.com/p/2VKDi