1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.01.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S5 Januari 2017

Maafisa nchini Tanzania wanatumia ndege zisizoendeshwa na marubani yaani drones kutambua maeneo ambayo watu wako katika hatari ya kukumbwa na mafuriko mfano Tandale kwa lengo la kuweka mikakati inayohitajika// Kuongezeka kwa ushiriki wa Urusi nchini Afghanistan kumewashangaza waangalizi wengi// Polisi ya mjini Cologne, Ujerumani imetuhumiwa kuwabagua watu kutokana na sura zao.

https://p.dw.com/p/2VJjV