1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.11.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S4 Novemba 2016

Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo amekutana na kuzungumza na wanahabari kwa mara ya kwanza// Vikosi maalum vya Iraq vimedhibiti tena wilaya sita, mashariki mwa mji wa Mosul nchini Iraq// Asilimia 86 ya wajerumani walioulizwa kuhusu uchaguzi wa Marekani wameonesha kama wangepewa nafasi wangempigia kura Hillary Clinton kuwa rais wa Marekani.

https://p.dw.com/p/2SBEh