Kinyanganyiro cha urais nchini Marekani kimeingia mkondo wa lala salama// Akitiwa kishindo ndani ya kambi yake ya kihafidhina kutokana na siasa yake kuelekea wahamiaji, kansela Angela Merkel wa Ujerumani, anaetarajiwa kugombea tena wadhifa huo// Angola-Sonangol inatajwa kuwa chanzo cha kufumuka kwa bei za bidhaa kunakochangia kurudisha nyuma ukuaji wa uchumi usio wa kawaida wa nchi hiyo.