1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.10.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S4 Oktoba 2016

Maafisa waandamizi kutoka Marekani, Uingereza, Ufaransa, Italia na mwenyeji Ujerumani wanatarajiwa kukutana kesho mjini Berlin kwa lengo la kutafuta suluhu ya mzozo wa Syria // Waziri wa uchumi ambaye pia ni naibu Kansela wa Ujerumani Sigmar Gabriel yuko ziarani nchini Iran// Bunge la Umoja wa Ulaya, limeeleza nia ya kuunga mkono utekelezaji wa mkataba wa Paris.

https://p.dw.com/p/2Qrv3