1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.08.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S4 Agosti 2017

Wanyarwanda wanatarajiwa kujitokeza vituoni leo kupiga kura kumchagua rais wao mpya, ambapo wagombea watatu wanawania wadhifa huo// Zikiwa zimesalia siku nne tu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini Kenya, hali ya usalama imeendelea kukabiliwa na kitisho baada ya kundi la wapiganaji kutoka nchi jirani ya Somalia, Al-Shabaab kuendelea kufanya mashambulizi nchini humo.

https://p.dw.com/p/2hh6P