1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.12.2015 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S3 Desemba 2015

Siku ya kimataifa ya walemavu/ Afrika Kusini: Viongozi wa kiafrika na Rais wa China watafanya mkutano wa siku mbili mjini Johannesburg kuanzia Ijumaa/ Human Rights Watch limetoa mwito kwa Rais Obama wa kuanzisha uchunguzi mpya na wa kuaminika juu ya vitendo vya mateso walivyofanyiwa watuhumiwa wa ugaidi na maafisa wa shirika la ujasusi la Marekani, CIA, wakati wa utawala wa Rais G.W. Bush

https://p.dw.com/p/1HGCk